Isaya 28:22
Sasa acheni dharau zenu, 2 la sivyo minyororo yenu itakuwa mizito zaidi. 1 Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, ameniambia 2 habari za maangamizi yaliyoamriwa dhidi ya nchi yote. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
23Sikilizeni msikie sauti yangu, 2 tegeni masikio na msikie niyasemayo. 1
Cross References
2 Chronicles 30:10Matarishi wakaenda mji hadi mji katika Efraimu na Manase, wakafika mpaka Zabuloni, lakini watu wakawadharau na kuwadhihaki.
2 Chronicles 36:16Lakini waliwadhihaki wajumbe wa Bwana wakayadharau maneno yake na kuwacheka manabii wake mpaka ghadhabu ya Bwana ikawa kubwa dhidi ya watu wake na hakukuwa na namna ya kuituliza.
Proverbs 19:29Adhabu zimeandaliwa kwa ajili ya wenye dhihaka 2 na mapigo kwa ajili ya migongo ya wapumbavu.
Isaiah 10:22Ingawa watu wako, ee Israeli, ni wengi kama mchanga wa pwani, 2 ni mabaki yao tu watakaorudi. 1 Maangamizi yamekwisha amriwa, 2 ni mengi tena ni haki. 1
Isaiah 24:1Tazama, Bwana ataifanya dunia kuwa ukiwa 2 na kuiharibu, 1 naye atauharibu uso wake 2 na kutawanya wakaao ndani yake: 1
Isaiah 32:12Pigeni matiti yenu kwa ajili ya mashamba mazuri, 2 kwa ajili ya mizabibu iliyozaa vizuri 1