Isaiah 32:12
Pigeni matiti yenu kwa ajili ya mashamba mazuri, 2 kwa ajili ya mizabibu iliyozaa vizuri 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
They shall lament for the teats, for the pleasant fields, for the fruitful vine.
In Context
Cross References
Deuteronomy 11:11Lakini nchi mnayovuka Yordani kuimiliki ni nchi ya milima na mabonde inywayo mvua kutoka mbinguni.
Isaiah 24:7Divai mpya inakauka na mzabibu unanyauka, 2 watu wote wafurahishao wanalia kwa huzuni. 1
Lamentations 4:3Hata mbweha hutoa matiti yao 2 kunyonyesha watoto wao, 1 lakini watu wangu wamekuwa wasio na huruma 2 kama mbuni jangwani. 1
Ezekiel 20:15Tena kwa mkono ulioinuliwa nikawaapia huko jangwani kwamba nisingewaingiza katika nchi niliyokuwa nimewapa, yaani, nchi itiririkayo maziwa na asali, nchi nzuri kuliko zote,
Nahum 2:7Imeagizwa kwamba mji uchukuliwe 2 na upelekwe uhamishoni. 1 Vijakazi wake wanaomboleza kama hua 2 na kupigapiga vifua vyao. 1