The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 28 › Isaiah 28:7

Isaiah 28:7

Hawa pia wanapepesuka kwa sababu ya mvinyo, 2 wanayumbayumba kwa sababu ya kileo: 1 Makuhani na manabii wanapepesuka kwa sababu ya kileo, 2 wanachanganyikiwa kwa sababu ya mvinyo; 1 wanapepesuka wanapoona maono, 2 wanajikwaa wanapotoa maamuzi. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But they also have erred through wine, and through strong drink are out of the way; the priest and the prophet have erred through strong drink, they are swallowed up of wine, they are out of the way through strong drink; they err in vision, they stumble in judgment.

In Context

6Atakuwa roho ya haki 2 kwa yeye aketiye katika kiti cha hukumu, 1 chanzo cha nguvu 2 kwa wale wazuiao vita langoni. 1

8Meza zote zimejawa na matapishi 2 wala hakuna sehemu hata ndogo 2 isiyokuwa na uchafu. 1

Read all of Isaiah 28

Cross References

Psalms 107:27Walipepesuka na kuyumbayumba kama walevi, 2 ujanja wao ukafikia ukomo. 1

Proverbs 31:4“Ee Lemueli, haifai wafalme, 2 haifai wafalme kunywa mvinyo, 2 haifai watawala kutamani sana kileo, 1

Isaiah 3:12Vijana wanawatesa watu wangu, 2 wanawake wanawatawala. 1 Enyi watu wangu, viongozi wenu wanawapotosha, 2 wanawapoteza njia. 1

Isaiah 5:22Ole wao walio mashujaa kwa kunywa mvinyo, 2 nao walio hodari katika kuchanganya vileo, 1

Isaiah 9:15Wazee na watu mashuhuri ndio vichwa, 2 nao manabii wanaofundisha uongo ndio mkia. 1

Isaiah 22:13Lakini tazama, kuna furaha na sherehe, 2 kuchinja ngʼombe na kuchinja kondoo, 2 kula nyama na kunywa mvinyo! 1 Mnasema, “Tuleni na kunywa, 2 kwa kuwa kesho tutakufa!”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 28:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 28:6Isaiah 28Isaiah 28:8 →