Isaiah 29:19
Mara nyingine tena wanyenyekevu watafurahi katika Bwana, 2 wahitaji watafurahi katika yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 12:5“Kwa sababu ya uonevu wa wanyonge 2 na kulia kwa uchungu kwa wahitaji, 1 nitainuka sasa,” asema Bwana. 2 “Nitawalinda kutokana na wale 2 wenye nia mbaya juu yao.” 1
Psalms 25:9Huwaongoza wanyenyekevu katika haki, 2 naye huwafundisha njia yake. 1
Psalms 149:4Kwa maana Bwana anapendezwa na watu wake, 2 anawavika wanyenyekevu taji ya wokovu. 1
Isaiah 14:30Maskini kuliko maskini wote watapata malisho, 2 nao wahitaji watalala salama. 1 Lakini mzizi wako nitauangamiza kwa njaa, 2 nayo njaa itawaua walionusurika. 1
Isaiah 41:16Utaipepeta, nao upepo utaichukua, 2 dhoruba itaipeperushia mbali. 1 Bali wewe utajifurahisha katika Bwana 2 na katika utukufu wa yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1
Isaiah 61:1Roho wa Bwana Mwenyezi yu juu yangu, 2 kwa sababu Bwana amenitia mafuta 2 kuwahubiria maskini habari njema. 1 Amenituma kuwaganga waliovunjika moyo, 2 kuwatangazia mateka uhuru wao, 1 na hao waliofungwa 2 habari za kufunguliwa kwao; 1