The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 29 › Isaiah 29:5

Isaiah 29:5

Lakini adui zako wengi watakuwa kama vumbi laini, 2 kundi la wakatili watakuwa 2 kama makapi yapeperushwayo. 1 Naam, ghafula, mara moja, 2

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Moreover the multitude of thy strangers shall be like small dust, and the multitude of the terrible ones shall be as chaff that passeth away: yea, it shall be at an instant suddenly.

In Context

4Utakaposhushwa, utanena kutoka ardhini, 2 utamumunya maneno yako kutoka mavumbini. 1 Sauti yako itatoka katika nchi kama vile ya mzimu, 2 utanongʼona maneno yako toka mavumbini. 1

6Bwana Mwenye Nguvu Zote atakuja 1 na ngurumo, tetemeko la ardhi, na kwa sauti kuu, 2 atakuja na dhoruba, tufani na miali ya moto iteketezayo. 1

Read all of Isaiah 29

Cross References

Psalms 1:4Sivyo walivyo waovu! 2 Wao ni kama makapi 2 yapeperushwayo na upepo. 1

Psalms 46:5Mungu yuko katikati yake, hautaanguka, 2 Mungu atausaidia asubuhi na mapema. 1

Isaiah 10:16Kwa hiyo Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 atatuma ugonjwa wa kudhoofisha kwa askari wake walio hodari, 1 katika fahari yake moto utawaka 2 kama mwali wa moto. 1

Isaiah 25:5na kama joto la jangwani. 1 Wewe wanyamazisha makelele ya wageni; 2 kama vile hari ipunguzwavyo na kivuli cha wingu, 2 ndivyo wimbo wa wakatili unyamazishwavyo. 1

Isaiah 31:3Lakini Wamisri ni wanadamu, wala si Mungu, 2 farasi wao ni nyama, wala si roho. 1 Wakati Bwana atakaponyoosha Mkono wake, 2 yeye anayesaidia atajikwaa, 2 naye anayesaidiwa ataanguka, 2 wote wawili wataangamia pamoja.

Isaiah 37:36Ndipo malaika wa Bwana akaenda, akawaua wanajeshi 185,000 katika kambi ya Waashuru. Wenzao walipoamka asubuhi yake, walikuta maiti kila mahali!

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 29:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 29:4Isaiah 29Isaiah 29:6 →