The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 3 › Isaiah 3:17

Isaiah 3:17

Kwa hiyo Bwana ataleta majipu kwenye vichwa vya wanawake wa Sayuni; 2 Bwana atazifanya ngozi za vichwa vyao kuwa vipara.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Therefore the LORD will smite with a scab the crown of the head of the daughters of Zion, and the LORD will discover their secret parts.

In Context

16Bwana asema, 2 “Wanawake wa Sayuni wana kiburi, 1 wanatembea na shingo ndefu, 2 wakikonyeza kwa macho yao, 1 wanatembea kwa hatua za madaha, 2 wakiwa na mapambo ya njuga kwenye vifundo vya miguu yao. 1

18Katika siku ile Bwana atawanyangʼanya uzuri wao: bangili, tepe za kichwani, mikufu yenye alama za mwezi mwandamo,

Read all of Isaiah 3

Cross References

Leviticus 13:29“Ikiwa mwanaume au mwanamke ana kidonda juu ya kichwa au juu ya kidevu,

Deuteronomy 28:27Bwana atakupiga kwa majipu ya Misri na kwa vidonda vitokavyo usaha na kuwashwa, ambako huwezi kuponywa.

Isaiah 47:2Chukua mawe ya kusagia, usage unga, 2 vua shela yako. 1 Pandisha mavazi yako, ondoa viatu vyako, 2 vuka vijito kwa shida. 1

Jeremiah 13:22Nawe kama ukijiuliza, 2 “Kwa nini haya yamenitokea?” 1 Ni kwa sababu ya dhambi zako nyingi 2 ndipo marinda yako yameraruliwa 2 na mwili wako umetendewa vibaya. 1

Ezekiel 23:25Nitaelekeza wivu wa hasira yangu dhidi yako, nao watakushughulikia kwa hasira kali. Watakatilia mbali pua yako na masikio yako, na wale watakaosalia miongoni mwako watauawa kwa upanga. Watachukua wana wako na binti zako, na wale watakaosalia miongoni mwenu watateketezwa kwa moto.

Nahum 3:5Bwana Mwenye Nguvu Zote anasema, 2 “Mimi ni kinyume na ninyi. 2 Nitafunika uso wako kwa gauni lako. 1 Nitaonyesha mataifa uchi wako 2 na falme aibu yako. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 3:17

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 3:16Isaiah 3Isaiah 3:18 →