Nahumu 3:5
Bwana Mwenye Nguvu Zote anasema, 2 “Mimi ni kinyume na ninyi. 2 Nitafunika uso wako kwa gauni lako. 1 Nitaonyesha mataifa uchi wako 2 na falme aibu yako. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Nitakutupia uchafu, 2 nitakufanyia dharau 2 na kukufanya kioja. 1
Cross References
Isaiah 47:3Uchi wako utafunuliwa 2 na aibu yako itaonekana. 1 Nitalipa kisasi; 2 sitamhurumia hata mmoja.” 1
Jeremiah 13:26Nitayafunua marinda yako mpaka juu ya uso wako 2 ili aibu yako ionekane: 1
Ezekiel 23:25Nitaelekeza wivu wa hasira yangu dhidi yako, nao watakushughulikia kwa hasira kali. Watakatilia mbali pua yako na masikio yako, na wale watakaosalia miongoni mwako watauawa kwa upanga. Watachukua wana wako na binti zako, na wale watakaosalia miongoni mwenu watateketezwa kwa moto.
Micah 1:11Piteni mkiwa uchi na wenye aibu, 2 ninyi mkaao Shafiri. 1 Wale waishio Saanani 2 hawatatoka nje. 1 Beth-Eseli iko katika maombolezo; 2 kinga yake imeondolewa kwako. 1
Habakkuk 2:16Utajazwa na aibu badala ya utukufu. 2 Sasa ni zamu yako! Kunywa na ujifunue! 1 Kikombe kutoka kwenye mkono wa kuume wa Bwana kinakujia, 2 na aibu itafunika utukufu wako. 1