Isaiah 31:5
Kama ndege warukao, 2 Bwana Mwenye Nguvu Zote ataukinga Yerusalemu; 1 ataukinga na kuuokoa, 2 atapita juu yake na kuufanya salama.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Mrudieni yeye ambaye nyumba ya Israeli imemwasi sana.
Cross References
Exodus 12:27Basi waambieni, ‘Hii ni dhabihu ya Pasaka kwa Bwana, ambaye alipita juu ya nyumba za Waisraeli katika nchi ya Misri na hakudhuru nyumba zetu alipowapiga Wamisri.’ ” Ndipo watu wa Israeli waliposujudu na kuabudu.
Deuteronomy 32:11kama tai avurugaye kiota chake, 2 na kurukaruka juu ya makinda yake, 1 ambaye hutanda mabawa yake kuwadaka, 2 na huwachukua kwenye mabawa yake. 1
Psalms 37:40Bwana huwasaidia na kuwaokoa, 2 huwaokoa kutoka kwa waovu na kuwahifadhi, 2 kwa maana wanamkimbilia.
Psalms 46:6Mataifa yanafanya ghasia, falme zinaanguka, 2 Yeye huinua sauti yake, dunia ikayeyuka. 1
Isaiah 10:14Kama mtu atiavyo mkono kwenye kiota, 2 ndivyo mkono wangu ulivyochukua utajiri wa mataifa; 1 kama watu wakusanyavyo mayai yaliyoachwa, 2 ndivyo nilivyokusanya nchi zote; 1 wala hakuna hata mmoja aliyepiga bawa 2 au kufungua kinywa chake kutoa mlio.’ ” 1
Isaiah 37:35“Nitaulinda mji huu na kuuokoa, 2 kwa ajili yangu mwenyewe, 2 na kwa ajili ya Daudi mtumishi wangu!”