Isaiah 32:11
Tetemekeni, enyi wanawake wenye kuridhika, 2 tetemekeni kwa hofu, enyi binti mnaojisikia salama! 1 Vueni nguo zenu, 2 vaeni nguo ya gunia viunoni mwenu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12Pigeni matiti yenu kwa ajili ya mashamba mazuri, 2 kwa ajili ya mizabibu iliyozaa vizuri 1
Cross References
Deuteronomy 28:48kwa hiyo katika njaa na kiu, katika uchi na umaskini wa kutisha, utawatumikia adui ambao Bwana atawatuma dhidi yako. Yeye ataweka nira ya chuma shingoni mwako hadi amekwisha kukuangamiza.
Isaiah 2:21Watakimbilia kwenye mapango miambani 2 na kwenye nyufa za miamba 1 kutokana na utisho wa Bwana 2 na utukufu wa enzi yake, 2 ainukapo kuitikisa dunia. 1
Isaiah 15:3Wamevaa nguo za magunia barabarani, 2 juu ya mapaa na kwenye viwanja 1 wote wanaomboleza, 2 wamelala kifudifudi kwa kulia. 1
Isaiah 22:4Kwa hiyo nilisema, “Geukia mbali nami, 2 niache nilie kwa uchungu. 1 Usijaribu kunifariji 2 juu ya maangamizi ya watu wangu.” 1
Isaiah 47:1“Shuka uketi mavumbini, 2 ee Bikira Binti Babeli; 1 keti chini pasipo na kiti cha enzi, 2 ee binti wa Wakaldayo. 1 Hutaitwa tena mwororo wala wa kupendeza. 1
Jeremiah 6:26Enyi watu wangu, vaeni magunia 2 mjivingirishe kwenye majivu, 1 ombolezeni kwa kilio cha uchungu 2 kama amliliaye mwana pekee, 1 kwa maana ghafula 2 mharabu atatujia. 1