Isaya 34:12
Watu wake wa kuheshimiwa hawatakuwa na chochote 2 kitakachoitwa ufalme huko, 2 nao wakuu wao wote watatoweka. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 3:6Mtu atamkamata mmoja wa ndugu zake 2 katika nyumba ya baba yake na kusema, 2 “Unalo joho, sasa uwe kiongozi wetu, 2 tawala lundo hili la magofu!” 1
Isaiah 41:24Lakini ninyi ni zaidi ya bure kabisa, 2 na kazi zenu hazifai kitu kabisa; 2 yeye awachaguaye ni chukizo sana. 1
Jeremiah 39:6Huko Ribla, mfalme wa Babeli aliwachinja wana wa Sedekia mbele ya macho yake, na pia akawaua wakuu wote wa Yuda.
1 Corinthians 13:2Ningekuwa na karama ya unabii na kujua siri zote na maarifa yote, hata kama nina imani kiasi cha kuweza kuhamisha milima, kama sina upendo, mimi si kitu.