The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 35 › Isaiah 35:4

Isaiah 35:4

waambieni wale wenye mioyo ya hofu, 2 “Kuweni hodari, msiogope; 1 tazama, Mungu wenu atakuja, 2 pamoja na malipo ya Mungu, 2 atakuja na kuwaokoa ninyi.” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Say to them that are of a fearful heart, Be strong, fear not: behold, your God will come with vengeance, even God with a recompence; he will come and save you.

In Context

3Itieni nguvu mikono iliyo dhaifu, 2 yafanyeni imara magoti yaliyolegea, 1

5Ndipo macho ya vipofu yatafumbuliwa 2 na masikio ya viziwi yatazibuliwa. 1

Read all of Isaiah 35

Cross References

Joshua 1:6“Uwe hodari na shujaa, kwa sababu wewe ndiwe utakayewaongoza watu hawa kuirithi nchi niliyowaapia baba zao kuwapa.

1 Chronicles 28:20Daudi pia akamwambia Solomoni mwanawe, “Uwe hodari na moyo mkuu, ukafanye kazi hii. Usiogope wala usifadhaike, kwa maana Bwana aliye Mungu, Mungu wangu yu pamoja nawe. Hatakuacha wala hatakupungukia mpaka kazi hii yote kwa ajili ya utumishi wa Hekalu la Bwana itakapokamilika.

Psalms 116:11Katika taabu yangu nilisema, 2 “Wanadamu wote ni waongo.” 1

Isaiah 25:9Katika siku ile watasema, 2 “Hakika huyu ndiye Mungu wetu; 2 tulimtumaini, naye akatuokoa. 1 Huyu ndiye Bwana, tuliyemtumaini; 2 sisi tushangilie na kufurahia katika wokovu wake.” 1

Isaiah 28:16Kwa hiyo hivi ndivyo Bwana Mwenyezi asemavyo: 1 “Tazama, ninaweka jiwe katika Sayuni, 2 jiwe lililojaribiwa, 1 jiwe la pembeni la thamani kwa ajili ya msingi thabiti. 2 Yeye atumainiye kamwe hatatiwa hofu. 1

Isaiah 32:4Moyo wa mtu mwenye hamaki utafahamu na kuelewa, 2 nao ulimi wenye kigugumizi utanena kwa ufasaha. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 35:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 35:3Isaiah 35Isaiah 35:5 →