The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 48 › Isaiah 48:13

Isaiah 48:13

Mkono wangu mwenyewe uliweka misingi ya dunia, 2 nao mkono wangu wa kuume umezitanda mbingu; 2 niziitapo, zote husimama pamoja. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Mine hand also hath laid the foundation of the earth, and my right hand hath spanned the heavens: when I call unto them, they stand up together.

In Context

12“Ee Yakobo, nisikilize mimi, 2 Israeli, ambaye nimekuita: 1 Mimi ndiye; 2 mimi ndimi mwanzo na mwisho. 1

14“Kusanyikeni, ninyi nyote, msikilize: 2 Ni ipi miongoni mwa hizo sanamu 2 ambayo imetabiri vitu hivi? 1 Watu wa Bwana waliochaguliwa na kuungana 2 watatimiza kusudi lake dhidi ya Babeli; 2 mkono wa Mungu utakuwa dhidi ya Wakaldayo. 1

Read all of Isaiah 48

Cross References

Job 37:18je, waweza kuungana naye katika kuzitandaza anga, 2 zilizo ngumu kama kioo cha shaba ya kuyeyushwa? 1

Psalms 119:89Ee Bwana, neno lako ni la milele, 2 linasimama imara mbinguni. 1

Psalms 148:5Vilisifu jina la Bwana 2 kwa maana aliamuru navyo vikaumbwa. 1

Isaiah 40:22Anakaa kwenye kiti cha enzi juu ya duara ya dunia, 2 nao watu wakaao ndani yake ni kama panzi. 1 Huzitandaza mbingu kama chandarua, 2 na kuzitandaza kama hema la kuishi. 1

Isaiah 42:5Hili ndilo asemalo Mungu, Bwana, 2 yeye aliyeziumba mbingu na kuzitanda, 1 aliyeitandaza dunia na vyote vitokavyo humo, 2 awapaye watu wake pumzi, 2 na uzima kwa wale waendao humo: 1

Isaiah 45:18Kwa kuwa hili ndilo asemalo Bwana, 2 yeye aliyeumba mbingu, 2 ndiye Mungu; 1 yeye aliyeifanya dunia na kuiumba, 2 yeye ndiye aliiwekea misingi imara, 1 hakuiumba ili iwe tupu, 2 bali aliiumba ikaliwe na viumbe vyake. 1 Anasema: 2 “Mimi ndimi Bwana, 2 wala hakuna mwingine. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 48:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 48:12Isaiah 48Isaiah 48:14 →