The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 42 › Isaiah 42:4

Isaiah 42:4

hatazimia roho wala kukata tamaa, 1 mpaka atakaposimamisha haki juu ya dunia. 2 Visiwa vitaweka tumaini lao katika sheria yake.” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He shall not fail nor be discouraged, till he have set judgment in the earth: and the isles shall wait for his law.

In Context

3Mwanzi uliopondeka hatauvunja, 2 na utambi unaofuka moshi hatauzima. 1 Kwa uaminifu ataleta haki, 2

5Hili ndilo asemalo Mungu, Bwana, 2 yeye aliyeziumba mbingu na kuzitanda, 1 aliyeitandaza dunia na vyote vitokavyo humo, 2 awapaye watu wake pumzi, 2 na uzima kwa wale waendao humo: 1

Read all of Isaiah 42

Cross References

Genesis 49:10Fimbo ya ufalme haitaondoka kwa Yuda, 2 wala fimbo ya mtawala kati ya miguu yake, 1 hadi aje yeye ambaye milki ni yake, 2 ambaye utii wa mataifa ni wake. 1

Psalms 72:8Atatawala kutoka bahari hadi bahari 2 na kutoka Mto + 72:8 Yaani Mto Frati. mpaka miisho ya dunia. 1

Isaiah 2:2Katika siku za mwisho 1 mlima wa Hekalu la Bwana utaimarishwa 2 kama mlima mkuu miongoni mwa milima yote, 1 utainuliwa juu ya vilima, 2 na mataifa yote yatamiminika huko.

Isaiah 11:9Hawatadhuru wala kuharibu 2 juu ya mlima wangu mtakatifu wote, 1 kwa kuwa dunia itajawa na kumjua Bwana 2 kama maji yajazavyo bahari.

Isaiah 24:15Kwa hiyo upande wa mashariki mpeni Bwana utukufu, 2 liadhimisheni jina la Bwana, Mungu wa Israeli, 2 katika visiwa vya bahari. 1

Isaiah 41:5Visiwa vimeliona na kuogopa, 2 miisho ya dunia inatetemeka. 1 Wanakaribia na kuja mbele, 2

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 42:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 42:3Isaiah 42Isaiah 42:5 →