The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 6 › Isaiah 6:9

Isaiah 6:9

Akasema, “Nenda ukawaambie watu hawa: 1 “ ‘Mtaendelea daima kusikiliza, 2 lakini kamwe hamtaelewa; 1 mtaendelea daima kutazama, 2 lakini kamwe hamtatambua.’ 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he said, Go, and tell this people, Hear ye indeed, but understand not; and see ye indeed, but perceive not.

In Context

8Kisha nikasikia sauti ya Bwana ikisema, “Nimtume nani? Ni nani atakayekwenda kwa ajili yetu?” Nami nikasema, “Mimi hapa. Nitume mimi!”

10Fanya mioyo ya watu hawa kuwa migumu, 2 fanya masikio yao yasisikie, 2 na upofushe macho yao. 1 Wasije wakaona kwa macho yao, 2 na wakasikiliza kwa masikio yao, 2 wakaelewa kwa mioyo yao, 1 nao wakageuka, nikawaponywa.”

Read all of Isaiah 6

Cross References

Isaiah 28:13Hivyo basi, neno la Bwana kwao litakuwa: 2 Amri juu ya amri, amri juu ya amri, 2 kanuni juu ya kanuni, kanuni juu ya kanuni, 2 hapa kidogo, kule kidogo: 1 ili waende na kuanguka chali, 2 wakijeruhiwa, wakinaswa na kukamatwa. 1

Isaiah 30:8Nenda sasa, liandike neno hili juu ya kibao kwa ajili yao, 2 liandike kwenye kitabu, 1 ili liweze kuwa shahidi milele 2 kwa ajili ya siku zijazo. 1

Isaiah 43:8Uwaongoze wale wenye macho lakini hawaoni, 2 wenye masikio lakini hawasikii. 1

Jeremiah 15:1Kisha Bwana akaniambia: “Hata kama Mose na Samweli wangesimama mbele zangu, moyo wangu usingewaelekea watu hawa. Waondoe mbele za macho yangu! Waache waende!

Matthew 13:14Kwao unatimia ule unabii wa Isaya aliposema: 1 “ ‘Hakika mtasikiliza lakini hamtaelewa; 2 na pia mtatazama lakini hamtaona. 1

Luke 8:10Naye akasema, “Ninyi mmepewa kufahamu siri za Ufalme wa Mungu, lakini kwa wengine nazungumza kwa mifano, ili, 1 “ ‘ingawa wanatazama, wasione; 2 ingawa wanasikiliza, wasielewe.’

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 6:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 6:8Isaiah 6Isaiah 6:10 →