Isaya 45:15
Hakika wewe u Mungu unayejificha, 2 Ee Mungu na Mwokozi wa Israeli. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Verily thou art a God that hidest thyself, O God of Israel, the Saviour.
In Context
16Wote watengenezao sanamu wataaibika na kutahayarika; 2 wataenda kutahayarika pamoja. 1
Cross References
Job 10:13“Lakini hili ndilo ulilolificha moyoni mwako, 2 nami ninajua kuwa hili lilikuwa katika nia yako: 1
Job 23:9Anapokuwa kazini pande za kaskazini, simwoni; 2 akigeukia kusini, nako simwoni hata kidogo. 1
Psalms 68:26Msifuni Mungu katika kusanyiko kubwa, 2 msifuni Bwana katika kusanyiko la Israeli. 1
Isaiah 8:17Nitamngojea Bwana, 2 ambaye ameificha nyumba ya Yakobo uso wake. 1 Nitaliweka tumaini langu kwake.
Isaiah 43:3Kwa kuwa Mimi ndimi Bwana, Mungu wako, 2 yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli, Mwokozi wako. 1 Ninaitoa Misri kuwa fidia yako, 2 Kushi na Seba badala yako. 1
Isaiah 45:17Lakini Israeli ataokolewa na Bwana 2 kwa wokovu wa milele; 1 kamwe hutaaibika wala kutatahayarika, 2 milele yote. 1