Isaya 57:18
Nimeziona njia zake, lakini nitamponya, 2 nitamwongoza na kumrudishia upya faraja, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 23:2Hunilaza katika malisho 2 ya majani mabichi, 1 kando ya maji matulivu huniongoza, 2
Ecclesiastes 9:4Yeyote aliye miongoni mwa walio hai analo tumaini, hata mbwa hai ni bora kuliko simba aliyekufa! 1
Isaiah 12:1Katika siku ile utasema: 1 “Nitakusifu wewe, Ee Bwana. 2 Ingawa ulinikasirikia, 1 hasira yako imegeukia mbali 2 nawe umenifariji. 1
Isaiah 30:26Mwezi utaangaza kama jua, nao mwanga wa jua utangʼaa mara saba zaidi, kama nuru ya siku saba, wakati Bwana atakapoyafunga majeraha ya watu wake na kuwaponya vidonda alivyowatia. 1
Isaiah 48:8Hujayasikia wala kuyaelewa, 2 tangu zamani sikio lako halikufunguka. 1 Ninafahamu vyema jinsi ulivyo mdanganyifu, 2 uliitwa mwasi tangu kuzaliwa kwako. 1
Isaiah 51:12“Mimi, naam mimi, 2 ndimi niwafarijie ninyi. 1 Ninyi ni nani hata kuwaogopa 2 wanadamu wanaokufa, 2 wanadamu ambao ni majani tu, 1