Isaya 60:4
“Inua macho yako na utazame pande zote: 2 Wote wanakusanyika na kukujia, 1 wana wako wanakuja toka mbali, 2 nao binti zako wanabebwa mikononi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Mataifa watakuja kwenye nuru yako 2 na wafalme kwa mwanga wa mapambazuko yako. 1
Cross References
Isaiah 11:12Atainua bendera kwa mataifa 2 na kuwakusanya Waisraeli walioko uhamishoni; 1 atawakusanya watu wa Yuda waliotawanyika 2 kutoka pembe nne za dunia. 1
Isaiah 42:6“Mimi, Bwana, nimekuita katika haki; 2 nitakushika mkono wako. 1 Nitakulinda na kukufanya 2 kuwa Agano kwa ajili ya watu 2 na nuru kwa Mataifa, 1
Isaiah 49:17Wana wako wanaharakisha kurudi, 2 nao wale waliokuteka wanaondoka kwako. 1
Isaiah 49:20Watoto waliozaliwa wakati wa msiba wako 2 bado watakuambia, 1 ‘Mahali hapa ni finyu sana kwetu, 2 tupe eneo kubwa zaidi la kuishi.’ 1
Isaiah 66:12Kwa kuwa hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Nitamwongezea amani kama mto, 2 nao utajiri wa mataifa kama kijito kifurikacho; 1 utanyonya na kuchukuliwa mikononi mwake 2 na kubembelezwa magotini pake. 1
Matthew 8:11Ninawaambia kwamba wengi watatoka mashariki na magharibi, nao wataketi karamuni pamoja na Abrahamu, Isaki na Yakobo katika Ufalme wa Mbinguni.