Isaiah 49:17
Wana wako wanaharakisha kurudi, 2 nao wale waliokuteka wanaondoka kwako. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Thy children shall make haste; thy destroyers and they that made thee waste shall go forth of thee.
In Context
Cross References
Nehemiah 2:4Mfalme akaniambia, “Je, haja yako ni gani?” Ndipo nikaomba kwa Mungu wa mbinguni,
Isaiah 10:6Ninamtuma dhidi ya taifa lisilomjua Mungu, 2 ninamtuma dhidi ya taifa linalonikasirisha, 1 kukamata mateka na kunyakua nyara, 2 pia kuwakanyaga chini kama matope ya barabarani. 1
Isaiah 51:13kwamba mnamsahau Bwana Muumba wenu, 2 aliyezitanda mbingu 2 na kuiweka misingi ya dunia, 1 kwamba mnaishi katika hofu siku zote 2 kwa sababu ya ghadhabu ya mdhalimu, 2 ambaye nia yake ni kuangamiza? 1 Iko wapi basi ghadhabu ya mdhalimu? 2
Isaiah 51:22Hili ndilo asemalo Bwana Mwenyezi wako, 2 Mungu wako, yeye ambaye huwatetea watu wake: 1 “Tazama, nimeondoa mkononi mwako 2 kikombe kilichokufanya uyumbayumbe; 1 kutoka kikombe hicho, 2 kikombe cha kunywa cha ghadhabu yangu, 2 kamwe hutakunywa tena. 1
Isaiah 62:5Kama vile kijana aoavyo mwanamwali, 2 ndivyo wanao + 62:5 Au: wajenzi wako. watakavyokuoa wewe; 1 kama bwana arusi amfurahiavyo bibi arusi wake, 2 ndivyo Mungu wako atakavyokufurahia wewe. 1