The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 9 › Isaiah 9:2

Isaiah 9:2

Watu wanaotembea katika giza 2 wameona nuru kuu, 1 wale wanaoishi katika nchi ya uvuli wa mauti, 2 nuru imewazukia. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The people that walked in darkness have seen a great light: they that dwell in the land of the shadow of death, upon them hath the light shined.

In Context

1Hata hivyo, hapatakuwepo huzuni tena kwa wale waliokuwa katika dhiki. Wakati uliopita aliidhili nchi ya Zabuloni na nchi ya Naftali, lakini katika siku zijazo ataiheshimu Galilaya ya Mataifa, karibu na njia ya bahari, kando ya Yordani: 1

3Umelikuza taifa, 2 na kuzidisha furaha yao, 1 wanafurahia mbele zako, 2 kama watu wanavyofurahia wakati wa mavuno, 1 kama watu wafurahivyo 2 wagawanyapo nyara. 1

Read all of Isaiah 9

Cross References

Job 10:21kabla sijaenda mahali ambapo hakuna kurudi tena, 2 katika nchi ya giza na uvuli wa mauti, 1

Psalms 23:4Hata kama nikipita katikati 2 ya bonde la uvuli wa mauti, 1 sitaogopa mabaya, 2 kwa maana wewe upo pamoja nami; 1 fimbo yako na mkongojo wako 2 vyanifariji. 1

Psalms 107:14Akawatoa katika giza na huzuni kuu 2 na akavunja minyororo yao. 1

Isaiah 50:10Ni nani miongoni mwenu amchaye Bwana, 2 na kulitii neno la mtumishi wake? 1 Yeye atembeaye gizani, 2 yeye asiye na nuru, 1 na alitumainie jina la Bwana, 2 na amtegemee Mungu wake. 1

Isaiah 60:19Jua halitakuwa tena nuru yako mchana, 2 wala mwangaza wa mwezi hautakuangazia, 1 kwa maana Bwana atakuwa nuru yako ya milele, 2 naye Mungu wako atakuwa utukufu wako. 1

Micah 7:8Usifurahie msiba wangu, ee adui yangu! 2 Ingawa nimeanguka, nitainuka. 1 Japo ninaketi gizani, 2 Bwana atakuwa nuru yangu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 9:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 9:1Isaiah 9Isaiah 9:3 →