Yeremia 4:29
Kwa sauti ya wapanda farasi na wapiga upinde 2 kila mji unakimbia. 1 Baadhi wanakimbilia vichakani, 2 baadhi wanapanda juu ya miamba. 1 Miji yote imeachwa, 2 hakuna aishiye ndani yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Kings 25:4Kisha ukuta wa mji ukavunjwa, na jeshi lote likakimbia. Wakaondoka mjini usiku kupitia lango lililokuwa kati ya kuta mbili karibu na bustani ya mfalme, ingawa Wakaldayo walikuwa wameuzunguka mji. Wakakimbia kuelekea Araba.
Isaiah 2:19Watu watakimbilia kwenye mapango ndani ya miamba, 2 na kwenye mahandaki ardhini 1 kutokana na utisho wa Bwana 2 na utukufu wa enzi yake, 2 ainukapo kuitikisa dunia. 1
Jeremiah 4:7Simba ametoka nje ya pango lake, 2 mharabu wa mataifa amejipanga. 1 Ametoka mahali pake 2 ili aangamize nchi yenu. 1 Miji yenu itakuwa magofu 2 pasipo mtu wa kuishi humo. 1
Jeremiah 52:7Kisha ukuta wa mji ukavunjwa na jeshi lote likakimbia. Wakaondoka mjini usiku kupitia lango lililokuwa kati ya kuta mbili karibu na bustani ya mfalme, ingawa Wakaldayo walikuwa wameuzunguka mji. Wakakimbia kuelekea Araba.
Luke 23:30Ndipo 1 “ ‘wataiambia milima, “Tuangukieni!” 2 na vilima, “Tufunikeni!” ’