Yeremia 44:3
kwa sababu ya uovu waliokuwa wameufanya. Walinikasirisha kwa kufukiza uvumba na kwa kuabudu miungu mingine ambayo kamwe wao, wala ninyi, wala baba zenu hawakuifahamu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 29:25Na jibu litakuwa: “Ni kwa sababu watu hawa waliacha Agano la Bwana, Mungu wa baba zao, Agano alilofanya nao wakati alipowatoa katika nchi ya Misri.
Deuteronomy 32:17Wakatoa dhabihu kwa pepo, ambao si Mungu: 2 miungu wasiyoijua, 2 miungu iliyojitokeza siku za karibuni, 2 miungu ambayo baba zenu hawakuiogopa. 1
Nehemiah 9:33Katika hayo yote yaliyotupata, umekuwa mwenye haki, na umetenda kwa uaminifu, wakati sisi tumetenda mabaya.
Jeremiah 4:17Wamemzunguka kama watu walindao shamba, 2 kwa sababu amefanya uasi dhidi yangu,’ ” 4 asema Bwana. 1
Jeremiah 5:29Je, nisiwaadhibu kwa ajili ya hili?” 2 asema Bwana. 1 “Je, nisijilipizie kisasi 2 juu ya taifa kama hili? 1
Jeremiah 9:12Ni mtu yupi aliye na hekima ya kutosha ayaelewe haya? Ni nani aliyefundishwa na Bwana awezaye kuyaeleza haya? Kwa nini nchi imeharibiwa na kufanywa ukiwa kama jangwa ambapo hakuna awezaye kupita?