The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 49 › Yeremia 49:14

Yeremia 49:14

Nimesikia ujumbe kutoka kwa Bwana: 2 Mjumbe alitumwa kwa mataifa kusema, 1 “Jikusanyeni ili kuushambulia! 2 Inukeni kwa ajili ya vita!” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I have heard a rumour from the LORD, and an ambassador is sent unto the heathen, saying, Gather ye together, and come against her, and rise up to the battle.

In Context

13Ninaapa kwa nafsi yangu,” asema Bwana, “kwamba Bosra utakuwa magofu na kitu cha kutisha, cha aibu na cha kulaania; miji yake yote itakuwa magofu milele.” 1

15“Sasa nitakufanya uwe mdogo miongoni mwa mataifa, 2 aliyedharauliwa miongoni mwa watu. 1

Read all of Yeremia 49

Cross References

Isaiah 18:2iwapelekayo wajumbe wake kwa njia ya bahari 2 kwa mashua za mafunjo juu ya maji. 1 Nendeni, wajumbe wepesi, 2 kwa taifa la watu warefu wenye ngozi nyororo, 2 kwa taifa linaloogopwa mbali na karibu, 1 taifa gomvi lenye lugha ngeni, 2 ambalo nchi yao imegawanywa kwa mito. 1

Isaiah 37:7Sikiliza! Nitatia roho fulani ndani yake ili kwamba atakaposikia taarifa fulani, atarudi nchi yake mwenyewe, nami huko nitafanya auawe kwa upanga.’ ”

Jeremiah 51:11“Noeni mishale, 2 chukueni ngao! 1 Bwana amewaamsha wafalme wa Wamedi, 2 kwa sababu nia yake ni kuangamiza Babeli. 1 Bwana atalipiza kisasi, 2 kisasi kwa ajili ya Hekalu lake. 1

Jeremiah 51:46Msikate tamaa wala msiogope tetesi 2 zitakaposikika katika nchi; 1 tetesi moja inasikika mwaka huu, 2 nyingine mwaka unaofuata; 1 tetesi juu ya jeuri katika nchi, 2 na ya mtawala dhidi ya mtawala. 1

Obadiah 1:1Maono ya Obadia. Hili ndilo asemalo Bwana Mwenyezi kuhusu Edomu: 1 Tumesikia ujumbe kutoka kwa Bwana: 2 Mjumbe alitumwa kwa mataifa kusema, 1 “Inukeni, twendeni tukapigane vita dhidi yake.” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 49:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 49:13Yeremia 49Yeremia 49:15 →