Yeremia 49:15
“Sasa nitakufanya uwe mdogo miongoni mwa mataifa, 2 aliyedharauliwa miongoni mwa watu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For, lo, I will make thee small among the heathen, and despised among men.
In Context
Cross References
1 Samuel 2:7Bwana humfanya mtu maskini naye hutajirisha, 2 hushusha na hukweza. 1
Psalms 53:5Hapo waliingiwa na hofu kuu, 2 ambapo hapakuwa cha kutetemesha. 1 Mungu alitawanya mifupa ya wale waliokushambulia; 2 uliwaaibisha, kwa sababu Mungu aliwadharau. 1
Micah 7:10Kisha adui yangu ataliona 2 naye atafunikwa na aibu, 1 yule aliyeniambia, 2 “Yu wapi Bwana Mungu wako?” 1 Macho yangu yataona kuanguka kwake, 2 hata sasa atakanyagwa chini ya mguu 2 kama tope barabarani. 1