The Bible Software
bible.softwareJeremiahJeremiah 51 › Jeremiah 51:21

Jeremiah 51:21

kwa wewe navunjavunja 2 farasi na mpanda farasi, 1 kwa wewe navunjavunja 2 gari la vita na mwendeshaji wake, 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And with thee will I break in pieces the horse and his rider; and with thee will I break in pieces the chariot and his rider;

In Context

20“Wewe ndiwe rungu langu la vita, 2 silaha yangu ya vita: 1 kwa wewe navunjavunja mataifa, 2 kwa wewe naangamiza falme, 1

22kwa wewe napondaponda 2 mwanaume na mwanamke, 1 kwa wewe napondaponda 2 mzee na kijana, 1 kwa wewe napondaponda 2 kijana wa kiume na mwanamwali, 1

Read all of Jeremiah 51

Cross References

Exodus 15:1Ndipo Mose na Waisraeli wakamwimbia Bwana wimbo huu: 1 “Nitamwimbia Bwana, 2 kwa kuwa ametukuzwa sana. 1 Farasi na mpanda farasi 2 amewatosa baharini. 1

Psalms 46:9Anakomesha vita hata miisho ya dunia, 2 anakata upinde na kuvunjavunja mkuki, 2 anateketeza ngao kwa moto. 1

Jeremiah 50:37Upanga dhidi ya farasi na magari yake ya vita 2 pamoja na askari wake wote wa kigeni katika safu zake! 2 Wao watakuwa kama wanawake. 1 Upanga dhidi ya hazina zake! 2 Hizo zitatekwa nyara. 1

Micah 5:10“Katika siku ile,” asema Bwana, 1 “nitaangamiza farasi zenu katikati yenu 2 na kubomoa magari yenu ya vita. 1

Haggai 2:22Nitapindua viti vya enzi vya falme, na kuziharibu kabisa nguvu za falme za kigeni. Nitapindua magari ya vita pamoja na waendeshaji wake; farasi na wapanda farasi wataanguka, kila mmoja kwa upanga wa ndugu yake.

Zechariah 12:4Katika siku hiyo nitampiga kila farasi kwa hofu ya ghafula, naye ampandaye nitampiga kwa uwazimu,” asema Bwana. “Nitalielekeza jicho langu la ulinzi juu ya nyumba ya Yuda, nami nitawapofusha farasi wote wa mataifa.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Jeremiah 51:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Jeremiah 51:20Jeremiah 51Jeremiah 51:22 →