Ayubu 12:5
Wanadamu wakiwa katika utulivu huwa na dharau kwa wale wenye msiba 1 kana kwamba ndiyo haki ya wale ambao miguu yao inateleza. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He that is ready to slip with his feet is as a lamp despised in the thought of him that is at ease.
In Context
Cross References
Deuteronomy 32:35Ni juu yangu kulipiza kisasi; nitalipiza. 2 Wakati utakapowadia, mguu wao utateleza; 1 siku yao ya maafa ni karibu, 2 na maangamizo yao yanawajia haraka.” 1
Job 16:4Mimi pia ningeweza kuzungumza kama ninyi, 2 kama mngekuwa katika hali yangu; 1 ningeweza kutoa hotuba nzuri dhidi yenu, 2 na kuwatikisia ninyi kichwa changu. 1
Psalms 17:5Hatua zangu zimeshikamana na njia zako; 2 nyayo zangu hazikuteleza. 1
Psalms 123:3Uturehemu, Ee Bwana, uturehemu, 2 kwa maana tumevumilia dharau nyingi. 1
Proverbs 20:20Ikiwa mtu atamlaani baba yake au mama yake, 2 taa yake itazimwa katika giza nene. 1
Amos 6:1Ole wenu ninyi mnaostarehe na kuridhika katika Sayuni, 2 na ninyi mnaojisikia salama juu ya Mlima Samaria, 1 ninyi watu mashuhuri wa taifa lililoendelea kuliko mataifa mengine, 2 ambao watu wa Israeli wanawategemea! 1