Job 13:24
Kwa nini kuuficha uso wako 2 na kunihesabu mimi kuwa adui yako? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Wherefore hidest thou thy face, and holdest me for thine enemy?
In Context
23Ni makosa na dhambi ngapi nilizotenda? 2 Nionyeshe kosa langu na dhambi yangu. 1
25Je, utaliadhibu jani lipeperushwalo na upepo? 2 Je, utayasaka makapi makavu? 1
Cross References
1 Samuel 28:16Samweli akamuuliza, “Kwa nini uniulize mimi, maadamu Bwana amekuacha na kuwa adui yako?
Job 10:16Kama nikiinua kichwa changu juu, unaninyatia kama simba, 2 na kuonyesha tena uwezo wa kutisha dhidi yangu. 1
Job 16:9Mungu amenishambulia na kunirarua katika hasira yake, 2 na kunisagia meno yake; 2 adui yangu hunikazia macho yake makali. 1
Job 29:2“Tazama jinsi ninavyoitamani miezi iliyopita, 2 zile siku ambazo Mungu alikuwa akinilinda, 1
Job 31:35(“Laiti kama angekuwepo mtu wa kunisikia! 2 Tazama sasa ninatia sahihi kwenye utetezi wangu: 2 Mwenyezi na anijibu; 1 mshtaki wangu na aweke mashtaka yake kwenye maandishi. 1
Psalms 10:1Kwa nini, Ee Bwana, unasimama mbali? 2 Kwa nini unajificha wakati wa shida? 1