The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 14 › Ayubu 14:18

Ayubu 14:18

“Lakini kama mlima umomonyokavyo na kufikichika 2 na kama vile mwamba uondolewavyo mahali pake, 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And surely the mountain falling cometh to nought, and the rock is removed out of his place.

In Context

17Makosa yangu yatafungiwa kwa lakiri kwenye mfuko, 2 nawe utazifunika dhambi zangu. 1

19kama maji yamalizavyo mawe, 2 na mafuriko yachukuavyo udongo, 2 ndivyo unavyoharibu tegemeo la mwanadamu. 1

Read all of Ayubu 14

Cross References

Job 18:4Wewe unayejirarua mwenyewe vipande vipande 2 katika hasira yako, 1 je, dunia iachwe kwa ajili yako wewe? 2 Au ni lazima miamba iondolewe mahali pake? 1

Isaiah 40:12Ni nani aliyepima maji ya bahari 2 kwenye konzi ya mkono wake, 2 au kuzipima mbingu kwa shibiri + 40:12 Shibiri ni sawa na sentimita 20 au inchi 8. yake? 1 Ni nani aliyeyashika mavumbi ya dunia katika kikapu, 2 au kupima milima kwenye kipimio 2 na vilima kwenye mizani? 1

Isaiah 54:10Ijapotikisika milima, na vilima viondolewe, 2 hata hivyo upendo wangu usiokoma kwenu hautatikisika, 1 wala agano langu la amani halitaondolewa,” 2 asema Bwana, mwenye huruma juu yenu. 1

Jeremiah 4:24Niliitazama milima, nayo ilikuwa ikitetemeka, 2 vilima vyote vilikuwa vikiyumbayumba. 1

Revelation 6:14Anga ikatoweka kama vile karatasi isokotwavyo, na kila mlima na kila kisiwa kikaondolewa mahali pake.

Revelation 20:11Kisha nikaona kiti kikubwa cheupe cha enzi pamoja na yeye aliyeketi juu yake. Dunia na mbingu zikaukimbia uso wake wala mahali pao hapakuonekana.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 14:18

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 14:17Ayubu 14Ayubu 14:19 →