Ayubu 18:4
Wewe unayejirarua mwenyewe vipande vipande 2 katika hasira yako, 1 je, dunia iachwe kwa ajili yako wewe? 2 Au ni lazima miamba iondolewe mahali pake? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Kwa nini sisi tunafikiriwa kama wanyama, 2 na kuonekana wajinga machoni pako? 1
5“Taa ya mwovu imezimwa, 2 nao mwali wa moto wake umezimika. 1
Cross References
Job 5:2Kuweka uchungu moyoni humuua mpumbavu, 2 nao wivu humchinja mjinga. 1
Job 14:18“Lakini kama mlima umomonyokavyo na kufikichika 2 na kama vile mwamba uondolewavyo mahali pake, 1
Job 40:8“Je, utabatilisha hukumu yangu? 2 Utanilaumu mimi ili kujihesabia haki mwenyewe? 1
Ezekiel 9:9Bwana akanijibu, “Dhambi ya nyumba ya Israeli na Yuda imekuwa kubwa mno kupita kiasi, nchi imejaa umwagaji damu na mjini kumejaa udhalimu. Kwani wamesema, ‘ Bwana ameiacha nchi, Bwana hauoni.’
Matthew 24:35Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe. 1 Hakuna Ajuaye Siku Wala Saa (Marko 13:32-37; Luka 17:26-30, 34-36)
Luke 9:39Mara kwa mara pepo mchafu humpagaa na kumfanya apige kelele, kisha humwangusha na kumtia kifafa hata akatokwa na povu kinywani. Huyo pepo mchafu anamtesa sana, na hamwachi ila mara chache.