Ayubu 20:29
Hili ndilo fungu Mungu alilowagawia waovu, 2 urithi uliowekwa kwa ajili yao na Mungu.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
This is the portion of a wicked man from God, and the heritage appointed unto him by God.
In Context
28Mafuriko yataichukua nyumba yake, 2 maji yaendayo kasi katika siku ya ghadhabu ya Mungu. 1
Cross References
Deuteronomy 29:20Bwana kamwe hatakuwa radhi kumsamehe, ghadhabu na wivu wa Mungu vitawaka dhidi ya mtu huyo. Laana zote zilizoandikwa katika kitabu hiki zitamwangukia na Bwana atafuta jina lake chini ya mbingu.
Job 22:20‘Hakika adui zetu wameangamizwa, 2 nao moto umeteketeza mali zao.’ 1
Job 31:2Kwa kuwa fungu la mwanadamu ni gani kutoka kwa Mungu juu, 1 urithi wake kutoka kwa Mungu Mwenye Nguvu Aliye juu? 1
Jeremiah 13:25Hii ndiyo kura yako, 2 fungu nililokuamuria,” 4 asema Bwana, 1 “kwa sababu umenisahau mimi 2 na kuamini miungu ya uongo. 1
Matthew 24:51Atamkata vipande vipande na kumweka katika sehemu moja pamoja na wanafiki, mahali ambako kutakuwa ni kulia na kusaga meno.