Nahum 1:2
Bwana ni mwenye wivu na Mungu mlipiza kisasi; 2 Bwana hulipiza kisasi na amejaa ghadhabu. 1 Bwana hulipiza kisasi juu ya watesi wake, 2 naye anadumisha ghadhabu yake dhidi ya adui zake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 34:7akidumisha upendo kwa maelfu, pia akisamehe uovu, uasi na dhambi. Lakini haachi kuadhibu mwenye hatia; huwaadhibu watoto na watoto wao kwa ajili ya dhambi ya baba zao hata katika kizazi cha tatu na cha nne.”
Leviticus 26:28ndipo katika hasira yangu nitaweka uadui nanyi, nami mwenyewe nitawaadhibu mara saba kwa ajili ya dhambi zenu.
Deuteronomy 4:24Kwa kuwa Bwana Mungu wenu ni moto ulao, Mungu mwenye wivu.
Deuteronomy 32:34“Je, hili sikuliweka akiba 2 na kulifungia kwenye vyumba vyangu vya hazina? 1
Deuteronomy 32:41wakati ninapounoa upanga wangu unaometameta 2 na mkono wangu unapoushika ili kutoa hukumu, 1 nitalipiza kisasi juu ya adui zangu 2 na kuwalipiza wale wanaonichukia. 1
Job 20:23Atakapokuwa amelijaza tumbo lake, 2 Mungu ataionyesha ghadhabu kali dhidi yake, 2 na kumnyeshea mapigo juu yake. 1