Job 21:31
Ni nani hulaumu matendo yake mbele ya uso wake? 2 Ni nani ampatilizaye kwa yale aliyoyatenda? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Who shall declare his way to his face? and who shall repay him what he hath done?
In Context
30kwamba mtu mwovu huepushwa kutoka siku ya maafa, 2 kwamba huokolewa kutoka siku ya ghadhabu? 1
32Hupelekwa kaburini, 2 nao ulinzi ukawekwa kwenye kaburi lake. 1
Cross References
2 Samuel 12:7Ndipo Nathani akamwambia Daudi, “Wewe ndiwe huyo mtu! Hivi ndivyo asemavyo Bwana, Mungu wa Israeli: ‘Nilikupaka mafuta uwe mfalme juu ya Israeli, nilikuokoa kutokana na mkono wa Sauli.
Job 21:19Imesemekana, ‘Mungu huiweka akiba adhabu ya mtu 2 kwa ajili ya wanawe.’ 1 Mungu na amlipe mtu mwenyewe, 2 ili apate kulijua! 1
Psalms 50:21Mambo haya unayafanya, nami nimekaa kimya, 2 ukafikiri Mimi nami ni kama wewe. 1 Lakini nitakukemea 2 na kuweka mashtaka mbele yako. 1
Jeremiah 2:33Je, wewe una ustadi kiasi gani katika kufuatia mapenzi! 2 Hata wale wanawake wabaya kuliko wote 2 wanaweza kujifunza kutokana na njia zako. 1
Acts 24:25Naye Paulo alipokuwa akinena juu ya haki, kuwa na kiasi na juu ya hukumu ijayo, Feliksi aliingiwa na hofu na kusema, “Hiyo yatosha sasa! Waweza kuondoka. Nitakapokuwa na wasaa nitakuita.”
Galatians 2:11Lakini Petro alipofika Antiokia, mimi nilimpinga ana kwa ana kwa sababu alikuwa amekosea kwa wazi.