Ayubu 22:10
Ndiyo sababu mitego imekuzunguka pande zote, 2 hatari ya ghafula inakutia hofu, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Therefore snares are round about thee, and sudden fear troubleth thee;
In Context
9Umewafukuza wajane mikono mitupu 2 na kuzivunja nguvu za yatima. 1
11ndiyo sababu ni giza sana huwezi kuona, 2 tena ndiyo sababu mafuriko ya maji yamekufunika. 1
Cross References
Job 13:21Ondoa mkono wako uwe mbali nami, 2 nawe uache kuniogofya kwa hofu zako kuu. 1
Job 18:11Vitisho vimemtia hofu kila upande, 2 na adui zake humwandama kila hatua. 1
Psalms 11:6Atawanyeshea waovu makaa ya moto mkali 2 na kiberiti kinachowaka, 2 upepo wenye joto kali ndio fungu lao. 1
Proverbs 3:25Usiogope maafa ya ghafula 2 au maangamizi yanayowapata waovu, 1