Ayubu 24:5
Kama punda-mwitu jangwani, 2 maskini huzunguka katika kazi zao za kutafuta chakula; 1 mahali palipo jangwa 2 huwapa chakula cha watoto wao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Humsukuma mhitaji kutoka njia, 2 na kuwafanya maskini wote wa nchi kulazimika kujificha. 1
6Hukusanya chakula mashambani na kuokota masazo 2 katika mashamba ya mizabibu ya waovu. 1
Cross References
Genesis 16:12Atakuwa punda-mwitu katikati ya wanadamu, 2 mkono wake utakuwa dhidi ya kila mtu 2 na mkono wa kila mtu dhidi yake, 1 naye ataishi kwa uhasama 2 na ndugu zake wote.”
Job 5:5Wenye njaa huyala mavuno yake, 2 wakiyatoa hata katikati ya miiba, 2 nao wenye kiu huitamani sana mali yake. 1
Job 24:14Wakati mwanga wa mchana unapotoweka, muuaji huinuka 2 naye huwaua maskini na mhitaji; 2 wakati wa usiku hunyemelea kama mwizi. 1
Psalms 104:23Kisha mwanadamu huenda kazini mwake, 2 katika kazi yake mpaka jioni. 1
Jeremiah 2:24punda-mwitu aliyezoea jangwa, 2 anayenusa upepo katika tamaa yake kubwa: 1 katika wakati wake wa kuhitaji mbegu 2 ni nani awezaye kumzuia? 1 Madume yoyote yanayomfuatilia 2 hayana haja ya kujichosha; 2 wakati wa kupandwa kwake watampata tu. 1
Hosea 8:9Kwa kuwa wamepanda kwenda Ashuru 2 kama punda-mwitu anayetangatanga peke yake. 1 Efraimu amejiuza mwenyewe 2 kwa wapenzi. 1