Ayubu 27:14
Hata kama watoto wake watakuwa wengi kiasi gani, 2 fungu lao ni kuuawa kwa upanga; 1 wazao wake hawatakuwa kamwe 2 na chakula cha kuwatosha. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
15Tauni itawazika wale watakaonusurika miongoni mwao, 2 nao wajane wao hawatawaombolezea. 1
Cross References
Deuteronomy 28:41Utakuwa na wana na binti lakini hawatakuwa nawe, kwa sababu watachukuliwa mateka.
2 Kings 9:7Inakupasa uiangamize nyumba ya bwana wako Ahabu, nami nitalipiza kisasi cha damu ya watumishi wangu manabii na damu ya watumishi wote wa Bwana iliyomwagwa na Yezebeli.
Esther 5:11Hamani akajisifia kwao juu ya utajiri wake mwingi, wanawe wengi na kwa njia zote ambazo mfalme amemheshimu kwazo na jinsi alivyomweka juu ya wakuu na maafisa wengine.
Esther 9:6Katika ngome ya Shushani Wayahudi waliua na kuangamiza wanaume 500.
Job 15:22Hukata tamaa kuokoka gizani; 2 amewekwa kwa ajili ya upanga. 1
Job 21:11Huwatoa watoto wao nje kama kundi; 2 wadogo wao huchezacheza. 1