Ayubu 33:18
kuiokoa nafsi yake na shimo, 2 uhai wake usiangamizwe kwa upanga. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He keepeth back his soul from the pit, and his life from perishing by the sword.
In Context
17ili kumgeuza mtu kutoka kwenye kutenda mabaya 2 na kumwepusha na kiburi, 1
19Mtu anaweza kutiwa adabu kwa maumivu kitandani mwake, 2 kwa dhiki za mfululizo katika mifupa yake, 1
Cross References
Job 15:22Hukata tamaa kuokoka gizani; 2 amewekwa kwa ajili ya upanga. 1
Job 33:24kumwonea huruma na kusema, 2 ‘Mwokoe asije akatumbukia shimoni; 2 nimepata ukombozi kwa ajili yake’: 1
Job 33:30ili aigeuze nafsi yake toka shimoni, 2 ili nuru ya uzima imwangazie. 1
Joel 2:8Hakuna anayemsukuma mwenzake; 2 kila mmoja anakwenda mbele moja kwa moja. 1 Wanapita katika vizuizi 2 bila kuharibu safu zao. 1
Romans 2:4Au waudharau wingi wa wema, ustahimili na uvumilivu wake, bila kujua kuwa wema wa Mungu wakuelekeza kwenye toba?
2 Peter 3:15Hesabuni uvumilivu wa Bwana kuwa ni wokovu, kama vile ndugu yetu mpenzi Paulo alivyowaandikia kwa hekima ile aliyopewa na Mungu.