The Bible Software
bible.softwareAyubuAyubu 5 › Ayubu 5:27

Ayubu 5:27

“Tumelichunguza hili, nalo ni kweli. 2 Hivyo lisikie na ulitendee kazi.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Lo this, we have searched it, so it is; hear it, and know thou it for thy good.

In Context

26Utaingia kaburini ukiwa na umri wa uzee mtimilifu, 2 kama masuke ya ngano yakusanywapo kwa wakati wake. 1

Read all of Ayubu 5

Cross References

Deuteronomy 10:13na kuyashika maagizo ya Bwana na amri zake ninazokupa leo kwa mafanikio yako mwenyewe?

Job 12:2“Bila shaka ninyi ndio watu, 2 nayo hekima itakoma mtakapokufa! 1

Job 15:9Wewe unajua kitu gani tusichokijua sisi? 2 Unafahamu kitu gani tusichokifahamu sisi? 1

Job 22:2“Je, mwanadamu aweza kuwa wa faida kwa Mungu? 2 Je, hata mtu mwenye hekima aweza kumfaidi? 1

Psalms 111:2Kazi za Bwana ni kuu, 2 wote wanaopendezwa nazo huzitafakari. 1

Proverbs 9:12Kama wewe una hekima, hekima yako itakupa tuzo; 2 kama wewe ni mtu wa mzaha, 2 wewe mwenyewe ndiwe utateseka.” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 5:27

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 5:26Ayubu 5