The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 10 › Proverbs 10:27

Proverbs 10:27

Kumcha Bwana huongeza urefu wa maisha, 2 lakini miaka ya mwovu inafupishwa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The fear of the LORD prolongeth days: but the years of the wicked shall be shortened.

In Context

26Kama siki ilivyo kwa meno na moshi kwa macho, 2 ndivyo alivyo mvivu kwa wale waliomtuma. 1

28Tarajio la mwenye haki ni furaha, 2 bali matumaini ya mwovu huwa si kitu. 1

Read all of Proverbs 10

Cross References

Job 15:32Atakuwa amelipwa kikamilifu kabla ya wakati wake, 2 nayo matawi yake hayatastawi. 1

Psalms 21:4Alikuomba maisha, nawe ukampa, 2 wingi wa siku milele na milele. 1

Psalms 55:23Lakini wewe, Ee Mungu, 2 utawashusha waovu katika shimo la uharibifu. 1 Wenye kiu ya kumwaga damu na wenye hila, 2 hawataishi nusu ya siku zao. 1 Lakini mimi ninakutumaini wewe.

Psalms 92:15wakitangaza, “ Bwana ni mkamilifu; 2 yeye ni Mwamba wangu, 2 na ndani yake hamna uovu.”

Proverbs 3:16Maisha marefu yako katika mkono wake wa kuume; 2 katika mkono wake wa kushoto 2 kuna utajiri na heshima. 1

Ecclesiastes 7:17Usiwe mwovu kupita kiasi, 2 wala usiwe mpumbavu: 2 kwa nini kufa kabla ya wakati wako? 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 10:27

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 10:26Proverbs 10Proverbs 10:28 →