Ayubu 5:7
Lakini mwanadamu huzaliwa ili kutaabika, 2 kwa hakika kama cheche za moto zirukavyo kuelekea juu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Yet man is born unto trouble, as the sparks fly upward.
In Context
6Kwa maana taabu haioti kutoka kwenye udongo, 2 wala udhia hauchipui kutoka ardhini. 1
8“Lakini ingekuwa ni mimi, ningemlalamikia Mungu, 2 ningeliweka shauri langu mbele zake. 1
Cross References
Genesis 3:17Kwa Adamu akasema, “Kwa sababu umemsikiliza mke wako na ukala kutoka kwenye mti niliokuamuru, ‘Msile tunda lake,’ 1 “Ardhi imelaaniwa kwa sababu yako, 2 kwa kazi ngumu utakula chakula kitokacho humo 2 siku zote za maisha yako. 1
Psalms 90:8Umeyaweka maovu yetu mbele yako, 2 dhambi zetu za siri katika nuru ya uwepo wako. 1
Ecclesiastes 1:8Vitu vyote vinachosha, 2 zaidi kuliko mtu anavyoweza kusema. 1 Jicho kamwe halitosheki kutazama, 2 wala sikio halishibi kusikia. 1
Ecclesiastes 2:23Siku zake zote kazi yake ni maumivu na masikitiko, hata usiku akili yake haipati mapumziko. Hili nalo pia ni ubatili.
1 Corinthians 10:13Hakuna jaribu lolote lililowapata ambalo si la kawaida kwa wanadamu. Naye Mungu ni mwaminifu; hataruhusu mjaribiwe kupita mnavyoweza. Lakini mnapojaribiwa atawapa njia ya kutokea ili mweze kustahimili. 1 Karamu Za Sanamu Na Meza Ya Bwana