Ayubu 7:18
kwamba unamwangalia kila asubuhi 2 na kumjaribu kila wakati? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And that thou shouldest visit him every morning, and try him every moment?
In Context
17“Mwanadamu ni kitu gani hata umjali kiasi hiki, 2 kwamba unamtia sana maanani, 1
19Je, hutaacha kamwe kunitazama, 2 au kuniacha japo kwa kitambo kidogo tu? 1
Cross References
Genesis 22:1Baadaye Mungu akamjaribu Abrahamu. Akamwambia, “Abrahamu!” Abrahamu akajibu, “Mimi hapa.”
Exodus 32:34Sasa nenda, uongoze hao watu mpaka mahali nilipokuambia, naye malaika wangu atakutangulia. Pamoja na hayo, wakati utakapofika wa mimi kuwaadhibu, nitawaadhibu kwa ajili ya dhambi yao.”
Job 14:3Je, unamwekea jicho lako mtu kama huyo? 2 Je, utamleta mbele yako katika hukumu? 1
Isaiah 26:14Wao sasa wamekufa, wala hawako tena hai, 2 roho za waliokufa hazitarudi tena. 1 Uliwaadhibu na kuwaangamiza, 2 umefuta kumbukumbu lao lote. 1
Jeremiah 9:7Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote: 1 “Tazama, nitawasafisha na kuwajaribu, 2 kwani ni nini kingine niwezacho kufanya 2 kwa sababu ya dhambi ya watu wangu? 1
Zechariah 13:9Hii theluthi moja nitaileta katika moto; 2 nitawasafisha kama fedha isafishwavyo 2 na kuwajaribu kama dhahabu. 1 Wataliitia Jina langu 2 nami nitawajibu; 1 nitasema, ‘Hawa ni watu wangu,’ 2 nao watasema, ‘ Bwana ni Mungu wetu.’ ”