The Bible Software
bible.softwareJoelJoel 1 › Joel 1:7

Joel 1:7

Limeharibu mizabibu yangu 2 na kuangamiza mitini yangu. 1 Limebambua magome yake 2 na kuyatupilia mbali, 2 likayaacha matawi yake yakiwa meupe. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He hath laid my vine waste, and barked my fig tree: he hath made it clean bare, and cast it away; the branches thereof are made white.

In Context

6Taifa limevamia nchi yangu, 2 lenye nguvu tena lisilo na idadi; 1 lina meno ya simba, 2 magego ya simba jike. 1

8Omboleza kama bikira aliyevaa nguo ya gunia 2 anayehuzunika kwa ajili ya mume wa ujana wake. 1

Read all of Joel 1

Cross References

Exodus 10:15Wakafunika ardhi yote mpaka ardhi ikawa nyeusi. Wakatafuna kile chote kilichokuwa kimebakizwa na ile mvua ya mawe, kila kitu kiotacho mashambani pamoja na matunda kwenye miti. Hakuna kitu chochote cha kijani kilichosalia katika miti au mmea katika nchi yote ya Misri.

Isaiah 5:6Nitalifanya nchi ya ukiwa isiyokaliwa na watu, 2 halitakatiwa matawi wala kulimwa, 1 nayo michongoma na miiba itamea huko, 2 nitaamuru mawingu yasinyeshe mvua juu yake.” 1

Isaiah 32:12Pigeni matiti yenu kwa ajili ya mashamba mazuri, 2 kwa ajili ya mizabibu iliyozaa vizuri 1

Hosea 2:12Nitaiharibu mizabibu yake na mitini yake, 2 ambayo alisema yalikuwa malipo yake 2 kutoka kwa wapenzi wake; 1 nitaifanya kuwa kichaka, 2 nao wanyama pori wataila. 1

Amos 4:9“Mara nyingi nilizipiga bustani zenu na mashamba ya mizabibu, 2 niliyapiga kwa kutu na ukungu. 1 Nzige walitafuna tini zenu na miti ya mizeituni, 2 hata hivyo hamjanirudia mimi,” 4 asema Bwana. 1

Malachi 3:11Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye, wala hataharibu mazao ya ardhi yenu, wala mzabibu wenu hautapukutisha matunda yake kabla ya wakati wake,” asema Bwana Mwenye Nguvu Zote.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Joel 1:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Joel 1:6Joel 1Joel 1:8 →