The Bible Software
bible.softwareJoelJoel 3 › Joel 3:11

Joel 3:11

Njooni haraka, ninyi mataifa yote kutoka pande zote, 2 kusanyikeni huko. 1 Shusha wapiganaji wako, Ee Bwana! 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Assemble yourselves, and come, all ye heathen, and gather yourselves together round about: thither cause thy mighty ones to come down, O LORD.

In Context

10Majembe yenu yafueni yawe panga 2 na miundu yenu ya kukatia iwe mikuki. 1 Aliye dhaifu na aseme, 2 “Mimi nina nguvu!” 1

12“Mataifa na yaamshwe; 2 na yasonge mbele kuelekea Bonde la Yehoshafati, 1 kwa kuwa nitaketi mahali pale 2 kuhukumu mataifa yote yaliyoko kila upande. 1

Read all of Joel 3

Cross References

Psalms 103:20Mhimidini Bwana, enyi malaika zake, 2 ninyi mlio mashujaa mnaozitii amri zake, 2 ninyi mnaotii neno lake. 1

Isaiah 13:3Nimewaamuru watakatifu wangu; 2 nimewaita mashujaa wangu waitimize hasira yangu: 2 wale wanaoshangilia ushindi wangu. 1

Ezekiel 38:9Wewe na vikosi vyako vyote na mataifa mengi yaliyo pamoja nawe mtapanda juu, mtawazoa kama tufani na kuifunika nchi kama wingu.

Micah 4:12Lakini hawayajui 2 mawazo ya Bwana; 1 hawauelewi mpango wake, 2 yeye awakusanyaye kama miganda 2 kwenye sakafu ya kupuria. 1

Zechariah 14:2Nitayakusanya mataifa yote huko Yerusalemu kupigana dhidi yake, mji utatekwa, nyumba zitavamiwa na kuporwa na wanawake watanajisiwa. Nusu ya mji watakwenda uhamishoni, lakini watakaobaki hawataondolewa kutoka mjini.

Revelation 16:14Hizo ndizo roho za pepo wachafu zitendazo miujiza. Nazo huwaendea wafalme wa ulimwengu wote na kuwakusanya tayari kwa ajili ya vita katika siku ile kuu ya Mungu Mwenyezi.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Joel 3:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Joel 3:10Joel 3Joel 3:12 →