Joel 3:17
“Ndipo mtakapojua kwamba Mimi, Bwana Mungu wenu, 2 nakaa Sayuni, mlima wangu mtakatifu. 1 Yerusalemu utakuwa mtakatifu; 2 kamwe wageni hawatavamia tena. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 15:19(wakati ambao wao peke yao ndio walipewa nchi, 2 hakuna mgeni aliyepita miongoni mwao): 1
Psalms 76:2Hema lake liko Salemu, 2 makao yake katika Sayuni. 1
Isaiah 12:6Pazeni sauti mwimbe kwa furaha, watu wa Sayuni, 2 kwa maana mkuu ni yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli miongoni mwenu.”
Isaiah 52:1Amka, amka, ee Sayuni, 2 jivike nguvu. 1 Vaa mavazi yako ya fahari, 2 ee Yerusalemu, mji mtakatifu. 1 Asiyetahiriwa na aliye najisi 2 hataingia kwako tena. 1
Ezekiel 43:12“Hii ndiyo sheria ya Hekalu: Eneo lote linalozunguka Hekalu juu ya mlima litakuwa takatifu kuliko yote. Hii ndiyo sheria ya Hekalu. 1 Madhabahu
Daniel 11:45Atasimika hema zake za ufalme kati ya bahari na mlima mtakatifu wa kupendeza. Hata hivyo, atafikia mwisho wake, wala hakuna yeyote atakayemsaidia.