Joel 3:16
Bwana atanguruma kutoka Sayuni 2 na mshindo wa ngurumo kutoka Yerusalemu; 2 dunia na mbingu vitatikisika. 1 Lakini Bwana atakuwa kimbilio la watu wake, 2 ngome imara kwa ajili ya watu wa Israeli. 1 Baraka Kwa Watu Wa Mungu 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
15Jua na mwezi vitatiwa giza, 2 na nyota hazitatoa mwanga wake tena. 1
Cross References
Psalms 18:2Bwana ni mwamba wangu, 2 ngome yangu na mwokozi wangu, 1 Mungu wangu ni mwamba, 2 ambaye kwake ninakimbilia. 1 Yeye ni ngao yangu na pembe ya wokovu wangu, 2 ngome yangu. 1
Psalms 46:1Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, 2 msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso. 1
Psalms 91:1Yeye akaaye mahali pa salama pake Yeye Aliye Juu Sana, 2 atadumu katika uvuli wake Mwenyezi. + 91:1 Mwenyezi hapa ina maana ya Shaddai kwa Kiebrania. 1
Isaiah 33:16huyu ndiye mtu atakayeishi mahali pa juu, 2 ambaye kimbilio lake litakuwa ngome ya mlimani. 1 Atapewa mkate wake, 2 na maji yake hayatakoma. 1
Isaiah 42:13Bwana ataenda kama mtu mwenye nguvu, 2 kama shujaa atachochea shauku yake, 1 kwa kelele ataamsha kilio cha vita, 2 naye atashinda adui zake. 1
Isaiah 51:16Nimeweka maneno yangu kinywani mwako 2 na kukufunika kwa uvuli wa mkono wangu: 1 Mimi niliyeweka mbingu mahali pake, 2 niliyeweka misingi ya dunia, 1 niwaambiaye Sayuni, 2 ‘Ninyi ni watu wangu.’ ” 1 Kikombe Cha Ghadhabu Ya Bwana 1