Jonah 2:9
Lakini mimi, kwa wimbo wa shukrani, 2 nitakutolea dhabihu. 1 Lile nililowekea nadhiri nitalitimiza. 2 Wokovu watoka kwa Bwana.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8“Wale watu wanaongʼangʼana na sanamu zisizofaa 2 hupoteza neema ile ambayo ingekuwa yao. 1
10Basi Bwana akamwamuru yule nyangumi, naye akamtapika Yona katika nchi kavu.
Cross References
Genesis 35:3Kisha njooni, twende Betheli, mahali nitakapomjengea Mungu madhabahu, aliyenijibu katika siku ya shida yangu, ambaye amekuwa pamoja nami popote nilipokwenda.”
1 Samuel 12:21Msigeukie sanamu zisizofaa. Haziwezi kuwatendea jema, wala haziwezi kuwaokoa kwa sababu hazina maana.
Job 22:27Utamwomba yeye, naye atakusikia, 2 nawe utazitimiza nadhiri zako. 1
Psalms 37:39Wokovu wa wenye haki hutoka kwa Bwana, 2 yeye ni ngome yao wakati wa shida. 1
Psalms 50:23Atoaye dhabihu za shukrani ananiheshimu mimi, 2 naye aiandaa njia yake 2 ili nimwonyeshe wokovu wa Mungu.”
Psalms 68:20Mungu wetu ni Mungu aokoaye, 2 Bwana Mwenyezi hutuokoa na kifo. 1