Jonah 3:10
Mungu alipoona walivyofanya na jinsi walivyogeuka kutoka njia zao mbaya, akawa na huruma wala hakuleta maangamizi juu yao kama alivyokuwa ameonya.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
9Ni nani ajuaye? Huenda Mungu akaghairi kwa huruma yake akaacha hasira yake kali ili tusiangamie.”
Cross References
1 Kings 21:27Ahabu aliposikia maneno haya, akararua nguo zake, akavaa nguo za gunia na kufunga. Akalala na kujifunika nguo za gunia na kwenda kwa unyenyekevu.
Job 33:27Ndipo huja mbele za watu na kusema, 2 ‘Nilitenda dhambi na kupotosha kilichokuwa haki, 2 lakini sikuadhibiwa kama nilivyostahili. 1
Jeremiah 18:7Ikiwa wakati wowote nikitangaza kuwa taifa au ufalme utangʼolewa, utaangushwa na kuangamizwa,
Jeremiah 31:18“Hakika nimeyasikia maombolezo ya Efraimu: 2 ‘Ulinirudi kama ndama mkaidi, 2 nami nimekubali kutii. 1 Unirudishe, nami nitarudi, 2 kwa sababu wewe ndiwe Bwana, Mungu wangu. 1
Amos 7:3Kwa hiyo Bwana akaghairi. Kisha Bwana akasema, “Hili halitatokea.” 1 Maono Ya Pili: Moto
Jonah 4:2Akamwomba Bwana, “Ee Bwana, hili si lile nililolisema nilipokuwa ningali nyumbani? Hii ndiyo sababu niliharikisha kukimbilia Tarshishi. Nikifahamu kuwa wewe ni Mungu mwenye neema na huruma, si mwepesi wa hasira na umejaa upendo, ni Mungu ambaye hughairi katika kupeleka maafa.