Waamuzi 18:17
Wale watu watano waliokwenda kupeleleza nchi wakaingia ndani na kuchukua ile sanamu ya kuchonga, ile naivera, na zile sanamu nyingine ndogo za nyumbani pamoja na ile sanamu ya kusubu, wakati yule kuhani akiwa amesimama pale penye ingilio la lango pamoja na wale watu 600 waliokuwa wamejifunga silaha za vita.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
16Wale Wadani 600, waliovaa silaha za vita, wakasimama penye ingilio la lango.
Cross References
Exodus 32:20Kisha akamchukua yule ndama waliokuwa wamemtengeneza na kumchoma kwenye moto, kisha akamsaga kuwa unga, akanyunyiza kwenye maji na kuwafanya Waisraeli wanywe.
Judges 17:4Hivyo akamrudishia mama yake ile fedha, naye mama yake akachukua shekeli mia mbili + 17:4 Shekeli 200 za fedha ni sawa na kilo 2.3 za fedha. za hiyo fedha na kumpa mfua fedha, ambaye aliifanyiza kinyago na sanamu. Navyo vikawekwa ndani ya nyumba ya Mika.
Judges 18:14Ndipo wale watu watano waliopeleleza nchi ya Laishi wakawaambia ndugu zao, “Je, mwajua kuwa mojawapo ya nyumba hizi kuna naivera, sanamu ndogo za nyumbani, sanamu ya kuchonga na sanamu ya kusubu? Sasa basi fikirini mtakalofanya.”
1 Samuel 6:2Wafilisti waliwaita makuhani wa Dagoni na waaguzi, na kuwaambia, “Tutafanya nini na hili Sanduku la Bwana? Tuambieni jinsi tutakavyolirudisha mahali pake.”
Isaiah 46:1Beli anasujudu hadi nchi, Nebo anainama; 2 sanamu zao zabebwa na wanyama wa mizigo. 1 Vinyago hivi mnavyobeba kila mahali ni mzigo wa kulemea, 2 mzigo kwa waliochoka. 1
Micah 5:13Nitaangamiza vinyago vyenu vya kuchonga 2 na mawe yenu ya ibada yatoke katikati yenu; 1 hamtasujudia tena 2 kazi ya mikono yenu. 1