Waamuzi 20:34
Ndipo watu 10,000 bora waliochaguliwa katika Israeli wote, wakaja kuishambulia Gibea. Vita vilikuwa vikali sana, hata Wabenyamini hawakutambua kuwa maangamizi yalikuwa karibu nao kwa kiasi hicho.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 21:13Huitumia miaka yao katika mafanikio 2 nao hushuka kaburini kwa amani. 1
Proverbs 29:6Mtu mbaya hutegwa na dhambi yake mwenyewe 2 bali mwenye haki huweza kuimba na kufurahi. 1
Ecclesiastes 9:12Zaidi ya hayo, hakuna mwanadamu ajuaye wakati saa yake itakapokuja: 1 Kama vile samaki wavuliwavyo katika wavu mkatili, 2 au ndege wanaswavyo kwenye mtego, 1 vivyo hivyo wanadamu hunaswa na nyakati mbaya 2 zinazowaangukia bila kutazamia. 1 Hekima Ni Bora Kuliko Upumbavu
Isaiah 47:11Maafa yatakujia, 2 nawe hutaweza kuyaondoa kwa uaguzi. 1 Janga litakuangukia, 2 wala hutaweza kulikinga kwa fidia; 1 msiba mkuu usioweza kuutabiri 2 utakujia ghafula. 1
Luke 21:34“Jihadharini mioyo yenu isije ikalemewa na anasa, ulevi na fadhaa za maisha haya, nayo siku ile ikawakuta ninyi bila kutazamia kama vile mtego unasavyo.