The Bible Software
bible.softwareMaombolezoMaombolezo 1 › Maombolezo 1:19

Maombolezo 1:19

“Niliita washirika wangu 2 lakini walinisaliti. 1 Makuhani wangu na wazee wangu 2 waliangamia mjini 1 walipokuwa wakitafuta chakula 2 ili waweze kuishi. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I called for my lovers, but they deceived me: my priests and mine elders gave up the ghost in the city, while they sought their meat to relieve their souls.

In Context

18“ Bwana ni mwenye haki, 2 hata hivyo niliasi dhidi ya amri yake. 1 Sikilizeni, enyi mataifa yote, 2 tazameni maumivu yangu. 1 Wavulana wangu na wasichana wangu 2 wamekwenda uhamishoni. 1

20“Angalia, Ee Bwana, jinsi nilivyo katika dhiki! 2 Nina maumivu makali ndani yangu, 1 nami ninahangaika moyoni mwangu, 2 kwa kuwa nimekuwa mwasi sana. 1 Huko nje, upanga unaua watu, 2 ndani, kipo kifo tu. 1

Read all of Maombolezo 1

Cross References

Job 19:13“Amewatenga ndugu zangu mbali nami; 2 wale tunaojuana nao wamefarakana nami kabisa. 1

Jeremiah 14:15Kwa hiyo, hili ndilo Bwana asemalo kuhusu manabii wanaotabiri kwa jina langu: Mimi sikuwatuma, lakini wanasema, ‘Hakuna upanga wala njaa itakayoigusa nchi hii.’ Manabii hao hao watakufa kwa upanga na njaa.

Jeremiah 27:13Kwa nini wewe na watu wako mfe kwa upanga, njaa na tauni, ambazo Bwana ameonya juu ya taifa lolote ambalo halitamtumikia mfalme wa Babeli?

Jeremiah 37:7“Hili ndilo asemalo Bwana, Mungu wa Israeli: Mwambie mfalme wa Yuda aliyekutuma uniulize mimi, ‘Jeshi la Farao lililotoka kuja kukusaidia litarudi katika nchi yake yenyewe, yaani Misri.

Lamentations 1:2Kwa uchungu, hulia sana usiku, 2 machozi yapo kwenye mashavu yake. 1 Miongoni mwa wapenzi wake wote 2 hakuna yeyote wa kumfariji. 1 Rafiki zake wote wamemsaliti, 2 wamekuwa adui zake. 1

Lamentations 2:20“Tazama, Ee Bwana, ufikirie: 2 Ni nani ambaye umepata 2 kumtendea namna hii? 1 Je, wanawake wakule wazao wao, 2 watoto waliowalea? 1 Je, kuhani na nabii auawe 2 mahali patakatifu pa Bwana? 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Maombolezo 1:19

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Maombolezo 1:18Maombolezo 1Maombolezo 1:20 →