The Bible Software
bible.softwareLamentationsLamentations 1 › Lamentations 1:2

Lamentations 1:2

Kwa uchungu, hulia sana usiku, 2 machozi yapo kwenye mashavu yake. 1 Miongoni mwa wapenzi wake wote 2 hakuna yeyote wa kumfariji. 1 Rafiki zake wote wamemsaliti, 2 wamekuwa adui zake. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

She weepeth sore in the night, and her tears are on her cheeks: among all her lovers she hath none to comfort her: all her friends have dealt treacherously with her, they are become her enemies.

In Context

1Tazama jinsi mji ulivyoachwa ukiwa, 2 mji ambao zamani ulikuwa umejaa watu! 1 Jinsi ambavyo umekuwa kama mama mjane, 2 ambaye wakati fulani alikuwa maarufu miongoni mwa mataifa! 1 Yule ambaye alikuwa malkia miongoni mwa majimbo 2 sasa amekuwa mtumwa. 1

3Baada ya mateso na kufanyishwa kazi kikatili, 2 Yuda amekwenda uhamishoni. 1 Anakaa miongoni mwa mataifa, 2 hapati mahali pa kupumzika. 1 Wote ambao wanamsaka wamemkamata 2 katikati ya dhiki yake. 1

Read all of Lamentations 1

Cross References

Job 6:15Lakini ndugu zangu sio wa kutegemewa, 2 ni kama vijito vya msimu, 2 ni kama vijito ambavyo hufurika 1

Job 19:13“Amewatenga ndugu zangu mbali nami; 2 wale tunaojuana nao wamefarakana nami kabisa. 1

Psalms 31:11Kwa sababu ya adui zangu wote, 2 nimedharauliwa kabisa na jirani zangu, 1 hata kwa rafiki zangu nimekuwa tisho, 2 wale wanionao barabarani hunikimbia. 1

Psalms 77:2Nilipokuwa katika taabu, nilimtafuta Bwana, 2 usiku nilinyoosha mikono bila kuchoka 2 na nafsi yangu ilikataa kufarijika. 1

Isaiah 51:18Kati ya wana wote aliowazaa 2 hakuwepo hata mmoja wa kumwongoza, 1 kati ya wana wote aliowalea 2 hakuwepo hata mmoja wa kumshika mkono. 1

Jeremiah 4:30Unafanya nini, ewe uliyeharibiwa? 2 Kwa nini unajivika vazi jekundu 2 na kuvaa vito vya dhahabu? 1 Kwa nini unapaka macho yako rangi? 2 Unajipamba bure. 1 Wapenzi wako wanakudharau, 2 wanautafuta uhai wako. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Lamentations 1:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Lamentations 1:1Lamentations 1Lamentations 1:3 →