The Bible Software
bible.softwareLamentationsLamentations 2 › Lamentations 2:12

Lamentations 2:12

Wanawaambia mama zao, 2 “Wapi mkate na divai?” 1 wazimiapo kama watu waliojeruhiwa 2 katika barabara za mji, 1 maisha yao yadhoofikavyo 2 mikononi mwa mama zao. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

They say to their mothers, Where is corn and wine? when they swooned as the wounded in the streets of the city, when their soul was poured out into their mothers’ bosom.

In Context

11Macho yangu yamedhoofika kwa kulia, 2 nina maumivu makali ndani, 1 moyo wangu umemiminwa ardhini 2 kwa sababu watu wangu wameangamizwa, 1 kwa sababu watoto na wanyonyao wanazimia 2 kwenye barabara za mji. 1

13Ninaweza kusema nini kwa ajili yako? 2 Nikulinganishe na nini, 2 ee Binti Yerusalemu? 1 Nitakufananisha na nini, 2 ili nipate kukufariji, 2 ee Bikira Binti Sayuni? 1 Jeraha lako lina kina kama bahari. 2 Ni nani awezaye kukuponya? 1

Read all of Lamentations 2

Cross References

Isaiah 51:20Wana wako wamezimia, 2 wamelala kwenye mwanzo wa kila barabara, 2 kama swala aliyenaswa kwenye wavu. 1 Wamejazwa na ghadhabu ya Bwana 2 na makaripio ya Mungu wako. 1

Lamentations 1:11Watu wake wote wanalia kwa uchungu 2 watafutapo chakula; 1 wanabadilisha hazina zao kwa chakula 2 ili waweze kuendelea kuishi. 1 “Tazama, Ee Bwana, ufikiri, 2 kwa maana nimedharauliwa.” 1

Ezekiel 30:24Nitaitia nguvu mikono ya mfalme wa Babeli na kuutia upanga wangu mkononi mwake, lakini nitavunja mikono ya Farao, naye atalia kwa huzuni mbele yake kama mtu aliyetiwa jeraha la kumfisha.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Lamentations 2:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Lamentations 2:11Lamentations 2Lamentations 2:13 →